Habari za Punde

Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za ADC jimbo la Kiwani


 MWANACHAMA wa ADC Shaniani akisoma utenzi wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho kwa jimbo la Kiwani huko katika kiwanja cha Mpira Kengeja Wilaya ya Mkoani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MGOMBEA Urais kupitia wa Zanzibar kupitia chama cha ADC Mhe:Hamad Rashid Mohamed, akiwa pamoja na viongozi wenzake wa chama hicho wakati wa uzinduzi wa kampenzi za jimbo la Kiwani huko katika uwanja wa mpira Kengeja.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 WANANCHI wa jimbo la kiwani wakimsikiliza kwa makini mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha ADC, Mhe: Hamad Rashid Mohamed wakati wa ufunguzi wa kampenzi za ubunge jimbo hilo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia chama cha ADC Mhe:Hamad Rashid Mohamed, akizungumza na wananchi wa jimbo la Kiwani Wilaya ya Mkoani, wakati wa uzinduzi wa kampeni za jimbo hilo huko katika uwanja wa mpira Kengeja.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.