Habari za Punde

Dk Shein afanya ziara maalum kisiwa cha Tumbatu

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Tumbatu pamoja na Viongozi mbali mbali wakati alipofika Bandari ya Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja akiwa katika ziara maalum ya kutembelea miradi ya maendeleo ya Kisiwa hicho leo,[Picha na Ikulu.] (30Disemba2015)
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipata maelezo wakati alipokuwa akiangalia ramani ya Ujenzi wa Bandari ya Tumnbatu kutoka wa Mhandisi Mkuu wa Shirika la Bandari Mbarouk Hamadi Mbarouk wa Shirika la Bandari Zanzibar wakati alipofanya ziara maalum ya kutembelea maendeleo ya miradi ya maendeleo katika kisiwa cha Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]  (30Disemba2015)
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wananchi wa Tumbatu Jimbo la Tumbatu waliofika katika mapokezi wakati alipofika Bandari ya Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja akiwa katika ziara maalum ya kutembelea miradi ya maendeleo ya Kisiwa hicho leo,[Picha na Ikulu.] (30Disemba2015)
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua mfereji wa maji kuangalia upatikanaji wa Maji Safi na Salama alipofanya ziara maalum ya kutembelea miradi ya maendeleo ya Wilaya Ndogo ya Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] (30Disemba2015)

 Wananchi na Wanachama wa CCM Jimbo la Tumbatu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwasalimia mara alipofika kijiji cha Tumbatu Kichangani kuangalia maendeleo ya miradi ya Maendeleo katika kijiji hicho leo ikiwemo ujenzi wa Bandari na Maji Safi na Salama iliyofanikisha kwa nguvu za Serikali ya Mapinduzi na Wananchi,[Picha na Ikulu.](30Disemba2015)
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa shukurani zake kwa  Wananchi wa Tumbatu Jimbo la Tumbatu waliofika katika mapokezi wakati alipofika Kijiji cha Tumbatu Kichangani Wilaya Ndigo Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja akiwa katika ziara maalum ya kutembelea miradi ya maendeleo ya Kisiwa hicho leo,[Picha na Ikulu.] (30Disemba2015)
 Mzee Hassan Khamis Haji akiwa miongoni mwa Wazee waliokuwa wakimpongeza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kwa jitihada zake za kuwatembelea wakati alipofika Kijiji cha Kichangani Wilaya Ndogo Tumbatu leo alipotembelea miradi ya maendeleo ikiwemo wa Maji safi na Salama na Ujenzi wa Bandari iliyojengwa na Mafundi wa Kijiji hicho kwa Usimamizi wa Shirika la Bandari Zanzibar,[Picha na Ikulu.] (30Disemba2015)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akifuatana na Wananchi pia   Wanafunzi wa madrasa wakisoma Qaswida wakati walipomshindikiza akiwa katika ziara ya kuangalia maendeleo ya Miradi ya maendeleo ya Kijiji cha Kichangani Wilaya Ndogo Tumbatu leo ikiwemo Ujenzi wa Bandari na Maji Safi na Salama,[Picha na Ikulu]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.