Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya GAPCO Tanzania, Vijay Nair (katikati) akibonyeza kitufe kwenye Kompyuta kuwatafuta washindi wa promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" inayowawezesha wateja wa mafuta katika vituo mbali mbali vya GAPCO jijini Dar es salaam kujipatia mafuta ya bure. Jumla ya Wateja 25 hupata bahati ya kuwekewa mafuta bure. Kushoto ni Mkaguzi wa Michezo ya kubahatisha nchini, Abdallah Hemedy na kulia ni Mejena Mradi wa GAPCO, Mohit Sharma.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Mgeni Rasmin
Maadhimisho ya Siku ya Mabaharia Duniani Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil
Kikwajuni Zanzibar
-
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akizungumza viongozi mbali mbali,
mabaharia na wadau wa Sekta ya Bahari katika hafla ya ufungaji wa
maadhimisho ya si...
6 minutes ago
No comments:
Post a Comment