Habari za Punde

Gari ya Ujenzi wa Utiaji wa Lami katika uwanja wa Gombani ikiwa kando ya Uwanja huo.

Gari ya Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano likiwa kando ya Uwanja huo ambalo hutumia kuweka lami katika uwanja wa njia ya kukimbilia ili kuweza kutandikwa tatani baada ya kuwekwa lami lakini likiwa kando wa uwanja huo na huku uwanja huo ukitumika kwa michezo ya Ligi Kuu ya Zanzibar kisiwani Pemba linaweza kuleta madhara kwa wachezaji wakati wa michezo yao inahitajika kuwekwa pembeni ya uwanja huo ili kutowa nafasi kwa wachezaji kuwa na usalama wao wakati wakiwa katika  michezo yao.
 (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.