Habari za Punde

Rais Mstaaf wa Tanzania Dk Jakaya Kikwete Amtambulisha Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu kwa Rais wa China Mhe. XI JINPING, Jijini Johannesburg.

Rais Mstaafu wa awamu Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, kwa Mhe. Rais wa China Xi Jinping, wakati walipokutana kwenye Mkutano wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China uliofanyika leo Jijini Johannesburg. Mhe Rais Mstaafu amehudhuria Mkutano huo kama Rais Mstaafu. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.