Tuesday, January 19, 2016

Breaking News ..Moto mkubwa unaendelea kuwaka Maeneo ya Kiponda
Moto mkubwa unaendelea kuwaka mitaa ya Kiponda mjini Unguja jirani na msikiti wa Shia Ithnasheria. Jitihada za kuuzima moto huu zinaendelea ila jitihada za ziada zinahitajika za msaada wa magari ya maji baada ya Magari ya zimamoto kuishiwa na maji na kwenda kuyafuata wakati wakijaribu kuuzima moto huo. 

1 comment:
Write Maoni
  1. Hii habari mbona hatujapata update zozote? Au ndo umeme haujarudi bado?

    ReplyDelete