Moto mkubwa unaendelea kuwaka mitaa ya Kiponda mjini Unguja jirani na msikiti wa Shia Ithnasheria. Jitihada za kuuzima moto huu zinaendelea ila jitihada za ziada zinahitajika za msaada wa magari ya maji baada ya Magari ya zimamoto kuishiwa na maji na kwenda kuyafuata wakati wakijaribu kuuzima moto huo.
TANESCO RUVUMA: VIFAA VYA KISASA VYA KUPIKIA VYA UMEME NI NAFUU NA SALAMA.
-
Songea- Ruvuma.
Shirika la Umeme Tanzania TANESCO Mkoa wa Ruvuma, limewataka wananchi
kuachana na matumizi ya kuni na mkaa na badala yake watumie majiko y...
4 hours ago
Hii habari mbona hatujapata update zozote? Au ndo umeme haujarudi bado?
ReplyDelete