MATANGAZO MADOGO MADOGO

Tuesday, January 19, 2016

Viongozi wa UKAWA wakutana leo Dar


Baadhi ya Viongozi wa UKAWA walipokutana leo Ofisini kwao Kawe Jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo ya faragha yaliyodumu kwa takriban masaa mawili kuanzia saa 9.30 mchana.(Picha na Salmin Said, OMKR)