Habari za Punde

PBZ Yakabidhi Msaada wa mashuka Hospitali ya Chakechake Pemba.

Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Bi Viwe Ali Juma, akikabidhi msaada wa mashuka kwa Uongozi wa Wizara ya Afya Pemba,akipokea  Afisa Uendeshaji Tiba wa Wizara hiyo,Ali Omar Mbarawa, katika ghafla iliofanyika Hospitali ya Chake Chake -Pemba.

Afisa Uendeshaji Tiba Wizara ya Afya Pemba,Ali Omar Mbarawa akitowa shukrani kwa msaada huo wa mashuka kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko wa PBZ,Viwe Ali Juma.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.