TANZANIA
REVENUE AUTHORITY
ISO: 9001:2008 Certified
Ref:
TRA/Z/TSED 13/91 31/12/2015
TAARIFA
KWA UMMA
VIWANGO
VYA KODI YA MAPATO (INCOME TAX) KWA MAGARI YA BIASHARA ZANZIBAR, KWA MWAKA 2016
NAM.
|
AINA YA GARI
|
KODI YA MAPATO (INCOME TAX)
KWA MWAKA
|
1
|
Gari ya Mizigo Tani (1 – 3)
|
150,000
|
Gari ya Mizigo Tani (4 – 7)
|
318,000
|
|
Gari ya Mizigo ya Tani (8 – 9) na Gari
ya Kubebea Maji Safi/Machafu
|
546,000
|
|
Gari ya Mizigo Tani 10 na kuendelea
|
862,000
|
|
2
|
Daladala – Abiria wasiozidi 20
|
150,000
|
|
Daladala - Abiria zaidi ya 20
|
318,000
|
3
|
Taxi
|
150,000
|
4
|
Private Hire – Abiria (1 – 6)
|
318,000
|
Private Hire – Abiria zaidi ya 6
|
546,000
|
|
5
|
Vyombo vya Magurudumu matatu (BAJAJI)
|
150,000
|
Imetolewa na Idara ya Elimu na Huduma kwa Mlipakodi
PO Box 161 TRA-Zanzibar
Email: trazanzibar@tra.go,tz
Simu: 024 2232923
Website: www.tra.go.tz
andeki hapo tunakabwa sisi ili tumnufaishe bwana apate kujenga madaraja yenye njia 8, hapa kazi tu
ReplyDeletetunajua kodi hiyo inawanufaisha bara sisi tukiuliza katika hiyo mikakati yao wamepanga wafanye nini ZNZ hakijulikani, lakini kwenye kuchangia tumo hii vipi?
ReplyDelete