Habari za Punde

Viwango vya kodi ya mapato (Income Tax) kwa magari ya Biashara Zanzibar -2016


TANZANIA REVENUE AUTHORITY
ISO:  9001:2008 Certified

Ref: TRA/Z/TSED                                       13/91                                                                                                    31/12/2015

TAARIFA KWA UMMA

VIWANGO VYA KODI YA MAPATO (INCOME TAX) KWA MAGARI YA BIASHARA ZANZIBAR, KWA MWAKA 2016

NAM.
AINA YA GARI
KODI YA MAPATO (INCOME TAX)
KWA MWAKA
1
Gari ya Mizigo Tani (1 – 3)
150,000
Gari ya Mizigo Tani (4 – 7)
318,000
Gari ya Mizigo ya Tani (8 – 9) na Gari ya Kubebea Maji Safi/Machafu
546,000
Gari ya Mizigo Tani 10 na kuendelea
862,000
2
Daladala – Abiria wasiozidi 20
150,000

Daladala  - Abiria zaidi ya 20
318,000
3
Taxi
150,000
4
Private Hire – Abiria (1 – 6)
318,000
Private Hire – Abiria zaidi ya 6
546,000
5
Vyombo vya Magurudumu matatu (BAJAJI)
150,000

Imetolewa na Idara ya Elimu na Huduma kwa Mlipakodi
PO Box 161 TRA-Zanzibar
Simu: 024 2232923

Website: www.tra.go.tz

2 comments:

  1. andeki hapo tunakabwa sisi ili tumnufaishe bwana apate kujenga madaraja yenye njia 8, hapa kazi tu

    ReplyDelete
  2. tunajua kodi hiyo inawanufaisha bara sisi tukiuliza katika hiyo mikakati yao wamepanga wafanye nini ZNZ hakijulikani, lakini kwenye kuchangia tumo hii vipi?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.