MAKAMO wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Balozi Seif
Ali Iddi, akikagua ujenzi wa Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani unavyoendelea,
kushoto ni Afisa Mdhamini Wizara ya Afya Pemba Dk Mkasha Hija Mkasha.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MUONEKANO wa sehemu ya mbele ya jengo la Hospitali
ya Abdalla Mzee Mkoani, likiendelea katika ujenzi wake.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MAKAMO wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Balozi Seif
Ali Iddi, akipata maelezo ya Ramani ya Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani,
itakapokamilika kutoka kwa mkalimani wa mafundi wa ujenzi wa hospitali hiyo
Zhung Dou, wakati alipofanya ziara ya kuangalia maendeleo ya ujenzi wa
hospitali hiyo unavyoendelea.(Picha na
Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment