Habari za Punde

Ujenzi wa Mtaro wa Maji ya Mvua Waanza Jimbo la Chumbuni Zanzibar

Mafunzi wa Kampuni ya Kichina inayojenga mtaro huo wa maji katika eneo la Chumbuni kiungani ukianza na ujenzi wake wa kusukwa kwa vyuma vya mtaro huo kuweza kuondoa kero za wananchi wa eneo hilo hukumbwa na kujaa kwa maji ya mvua wakati mvua ikinyesha na kusababisha wakaazi wa eneo hilo kuhama kwa muda makazi yao kwa kuingiliwa na maji. Hatimae imepata mkombozi wa kero hiyo kwa kujengwa kwa mtaro huo mkubwa wa aina yake.
Mtaro wa kupitishia maji wa zamani ambao huzidiwa na maji ya mvua na kusababisha wananchi wa eneo hilo kuhama makazi yao kwa muda kutokana na kujaa kwa maji ya mvua.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.