MATANGAZO MADOGO MADOGO

Wednesday, February 3, 2016

Ligu Kuu ya Zanzibar Mafunzo na Black Sailors,Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya Black Sailors Imeshinda 3--0.


 Kipa wa Timu ya Mafunzo akiokoa mpira huku mchezaji wa Timu ya Black Sailors akiwa tayari kuleta madhara 
 Beki wa Timu ya Mafunzo akiondoa mpira golini kwake wakati wa mchezo wao na Timu ya Black Sailors uliofanyika uwanja wa amaan. 
Mshambuliaji wa Timu ya Black Sailors akijaribu kuwapita walimzi wa Timu ya Mafunzo wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa amaan Timu ya Black Sailors imeshinda 3--0