Habari za Punde

Mradi wa Ujenzi wa Mtaro Jangombe Ukiendelea na Ujenzi Wake.

 Ujenzi wa Mtara katika maeneo ya Jangombe kwa Bint Hamrani ukiendelea na ujenzi wake kuondoa kero kwa Wakaazi wa eneo hilo wakati wa mvua kujaa maji na wananchi wa eneo hilo kushindwa kukaa katika makaazi yao kwa kuingiliwa na maji. Mtaro huu utakuwa mkombezi wa kero hiyo unaojengwa na Kampuni ya Kichina ukiwa katika hatua kubwa ya ujenzi wake huo.

Mafunzi wakiwa kazini katika ujenzi wa mtaro huo. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.