Afisa Uhusiano wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO)Ndg.Salum Abdalla, akizungumza na masheha wa Wilaya
ya Mkoani, juu ya kuwashajihisha wananchi kuilinda miundominu ya Umeme iliyomo
katika shehia zao
Afisa Uhusiano wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO)Ndg.Salum Abdalla, akizungumza na masheha wa Wilaya ya Mkoani, juu ya kuwashajihisha wananchi kuilinda miundominu ya Umeme iliyomo katika shehia zao
Mmoja wa Masheha wa Shehia ya Mkoani akiuliza swali katika kikao chao na Viongozi wa Shirika la
Umeme Zanzibar ZECO, juu ya kutakiwa kuilinda miundombinu ya Umeme katika
shehia zao.
No comments:
Post a Comment