Habari za Punde

Dk.Shein Atembelea Maskani ya Kisonge Zanzibar

Kontena la Maskani ya kisonge Mjini Unguja liripuliwa kwa bomu na watu wasiojulikanwa usiku wa jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  pia  Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shei akipata maelezo kutoka kwa Kiongozi wa Maskani ya Kisonge, John Mwakanjuki leo wakati alipotembelea maskani hiyo baada ya kupata hasara kubwa ya mripuko wa bomu na watu wasiojuilikanwa usiku wa jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  pia  Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shei akipata maelezo kutoka kwa Kiongozi wa Maskani ya Kisonge John Mwakanjuki leo wakati alipotembelea maskani hiyo baada ya kupata hasara kubwa ya mripuko wa bomu na watu wasiojuilikanwa usiku wa jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  pia  Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto)  akizungumza na wanachama wa CCM na wapenda amani wakati alipofika katika Maskani ya Kisonge Mjini Unguja leo kuangalia  hasara iliyopatikana kutokana na mripuko wa bomu uliosababishwa na watu wasiojuilikanwa jana usiku,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.