Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mge Jecha S Jecha akitembelea kimoja cha Kituo cha Kupigia Kura cha Skuli ya Msingi Kiembesamaki Zanzibar.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe. Jecha S Jecha akipata maelezo kutoka kwa Karani wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Kituo cha Kupigia Kura Skuli ya Msingi Kiembesamaki Zanzibar.
Jaji Mkuu Mstaaf Makamo Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Tanzania NEC Mhe Hamid Mahmoud, akikamilisha taratibu baada ya kupiga Kura yake katika Kituo cha Wapiga Kura Skuli ya Msingi Kiembe Samaki Zanzibar akiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar Mhe Jecha S Jecha. akiwekwa wino maalum wa kumjulisha kuwa tayari ameshapiga Kura.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC Mhe Jecha S Jecha akizungumza na Mawakala wa Vyama vya Siasa vinavyoshiriki Uchaguzi wa Marudio Zanzibar wakati alipofika katika Kituo cha Skuli ya Msingi Kiembesamaki Zanzibar kuona zoezi la upigaji kura linavyoendelea katika Majimbo ya Zanzibar.
No comments:
Post a Comment