Habari za Punde

Rais Mstaaf wa Zanzibar Dk Amani Karume Apiga Kura Kituo cha Kiembesamaki leo Mchana.

Rais Mstaaf wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akiwasili katika Kituo cha Kupigia Kura cha Skuli ya Msingi Kiembesamaki Zanzibar, akiwasili katika Kituo hicho mchana kwa ajili ya kupiga Kura yake kumchagua Viongozi wa Zanzibar,
Dk Amani Abeid Karume akiingia katika Chumba cha Kupigia Kura katika Skuli ya Kiembesamaki Msingi.
Makarani wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC wakiangalia Kipande cha kupigia Kura cha Rais Mstaaf wa Zanzibar Dk Amani Karume alipowasili kwa ajili ya kupiga Kura yake. 
 Rais Mstaaf wa Zanzibar Dk Amani Karume akisubiri karatasi ya kupigia Kura.  

Rais Mstaaf wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akipiga Kura yake katika Kituo cha Skuli ya Msingi Kiembesamaki Zanzibar. 

Rais Mstaaf wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akipiga Kura yake katika Kituo cha Skuli ya Msingi Kiembesamaki Zanzibar. 
Rais Mstaaf wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akitoka Chumba cha kupigia Kura katika Kituo cha Skuli ya Msingi Kiembesamaki Zanzibar.baada ya kupiga kura yake leo mchana majira ya saa tisa.

Rais Mstaaf wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akiondoa katika Kituo cha kupigia Kura cha Skuli ya Msingi Kiembesamaki Zanzibar baada ya kupiga kura yale leo mchana.
Mwananchi wa Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar akisubiri kukabidhiwa karatasi ya kupigia kura na Karani wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC Kituo cha Skuli ya Msingi Kiembesamaki Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.