Habari za Punde

Timu ya JKU Yaaga Michuano ya Caf ya Kombe la Shirikisho Baada ya Kufungwa Nyumbani kwa Bao Moja na Timu ya SC Vila ya Uganga katika Mchezo wa Marudio Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.


Mkuu wa Wilaya ya Magharibi Unguja Mhe Ayoub akisalimiana na Wachezaji wa Timu ya SC Vila kabla kwa kuaza kwa mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Mkuu wa Wilaya ya Magharibi Unguja Mhe Ayoub akisalimiana na Wamuzi wa mchezo huo wa Kombe la Shirikisho uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar Kati ya JKU ya Zanzibar na SC Vila ya Uganda.
Mkuu wa Wilaya ya Magharibi Unguja Mhe Ayoub akisalimiana na Wachezaji wa Timu ya JKU kabla kwa kuaza kwa mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Wachezaji wa Timu ya SC Vila ya Uganda wakisalimiana na Wachezaji wa Timu ya JKU kbla ya kuaza kwa mchezo wao wa marudio uliofanyika uwanja wa amaan Zanzibar Timu ya SC Vila ya Uganda imeshinda bao 1--0.
Kikosi cha Timu ya SC Vila ya Uganda kilichotoka na ushindi katika michezo yake yote miwili wa Kwanza uliofanyika Nchini Uganda imeshinda Mabao 4--0 na leo katika mchezo wao wa Marudio ya Kombe la Shirikisho Afrika imeifunga JKU kwa bao 1--0 mchezo uliofanyika uwanja wa amaan Zanzibar.
Kikosi cha Timu ya JKU kilichokubali kipigo cha mabao 5 - 0, katika michezo yake miwili wa kwanza uliofanyika Nchini Uganda timu hiyo imefungwa mabao 4--0 na leo katika mchezo wao wa marudio uliofanyika Zanzibar katika Uwanja wa Amaan imekubali kwa kipigo cha bao 1--0 dhidi ya Timu ya SC Vila ya Uganda.
















No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.