Habari za Punde

Athari ya Mvua za Masika Mitaa ya Magomeni Uwanja wa Mpira Jitini.

Wananchi wa eneo hili ilibidi kuhama nyumba yao kutokana na kujaa kwa Maji ya Mvua za Masika zinazoendelea kunyesha katika Visiwa na Zanzibar na kuleta athari kwa baadhi ya mitaa kujaa maji, kama inavyooneka moja ya nyumba hii ilioko katika mtaa wa meya ikiwa imejaa maji hadi ndani.  
Nyumba za eneo la magomeni Jitini zikiwa zimejaa maji wa mvua za masika zilizonyesha usiku wa jana na kuendelea hadi asubuhi ya leo na kuleta athari kwa baadhi ya maeneo ya makaazi ya watu.
Hivi ndivyo hali ilivyo kwa baadhi ya maeneo kwa kujaa kwa maji ya mvua za masika.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.