Habari za Punde

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe.Luhaga Mpina Azindua Kampeni ya Upandaji Miti Kitaifa Madale Jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina akipanda mti katika kata ya Madale jijini Dar es Salaam. 
Baadhi ya Wananchi Waliohudhuria uzinduzi wa barabara za mitaa na kampeni ya upandaji miti kitaifa uliofanyika katika kata ya madale jijini Dar es salaam na Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mh.Luhaga Mpina.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina akizindua rasimi jiwe la msingi la kampeni ya Upandaji miti Kitaifa jijini Dar es Salaam
Jiwe la Msingi lililozinduliwa na Mh.Naibu waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina kata ya Madale jijin Dar es Salaam kuashiria uanzishwaji wa kampeni ya upandaji miti nchini kote,   
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira akiongea na Waandishi wa Habari (hawapo pichani)baada ya kushiriki zoezi la kupanda miti katika kata ya Madale jijini ikiwa ni sehemu ya kampeni kitaifa ya kupanda miti(Picha na OMR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.