MATANGAZO MADOGO MADOGO

Friday, April 22, 2016

Dk Shein azungumza na uongozi wa ZATUC

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Shirikisho la Vyama Huru vya Wafanyakazi Zanzibar (ZATUC) ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar Ukiongozwa na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Mhe,Moudline Castico (wa pili kulia),[Picha na Ikulu.] 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Shirikisho la Vyama Huru vya Wafanyakazi Zanzibar (ZATUC) baada ya mazungumzo ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar Ukiongozwa na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Mhe,Moudline Castico (wa pili kulia),[Picha na Ikulu.]