GARI aina ya Suzuki samorai yenye namba za usajili Z 428AD,
inayomilikiwa na Khalfani Saidi Salum (Chondoma) ikiwaka moto katika makutano
ya barabara ya kutokea soko la katari na kuelekea kibirinzi Chake Chake
Pemba,garihi inayokisiwa kuwa na thamani ya shilingi Milioni nne.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WANANCHI mbali mbali kisiwani Pemba, wakiangalia gari iliyokuwa
ikiwaka moto huku wakiwa hawajuwi la kufanya kutokana na kushindwa kuwa na
vifaa vya kuzimia moto huo, gari hiyo inayokisiwa kuwa na thamani ya shilingi
Milioni nne 4,000,000/=.(Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA.)
ASKARI wa kikosi cha zimamoto na uokozi kisiwani Pemba, wakizima
moto katika gari iliyokuwa ikiwaka katika makutano ya barabara ya kutokea soko
la katiri kuelekea kibirinzi Chake Chake Pemba, gari hiyo inayokisiwa kuwa na
thamani ya shilingi Milioni nne 4,000,000/=.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MSAIDIZI wa Mkuu wa kikosi cha Zimamoto na uokozi
kisiwani Pemba, Ali Mcha Khamis katikati akiangalia gari iliyokuwa ikiwaka
moto, baada ya kuzimwa moto huo na kikaosi cha zimamoto na uokozi Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MMILIKI wa gari aina ya Suzuki samorai yenye namba za usajili Z
428AD, Khalfani Said Salum (Chondoma), kulia akiangalia gari yake wakati
ilipokuwa ikifunguliwa sehemu za mbele, baada ya kuzimwa moto huo uliokuwa
ukiwaka baada ya gari hiyo kupata hitilafu.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WANANCHI mbali mbali wakishuhudia gari ilivyoteketea kwa moto
katika sehemu ya mashine ya gari hiyo ilivyoteketea yote kwa moto.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment