Habari za Punde

Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki Ajumuika na Wananchi wa Jimbo hilo Katika Ujenzi wa Taifa wa Tawi lao la CCM Milimani.

Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar Mhe Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na Vijana wa Tawi la CCM Milimani wakati wa Ujenzi wa Taifa wa kujenga tawi hilo la CCM. ili kuimarisha Chama kuazia ngazi ya Tawi hadi Shina.  
Vijana wa Tawi la CCM Milimani kiembesamaki wakiwa katika harakati za Ujenzi wa Taifa wa Tawi hilo kwakiwa na Mwakilishi wao Mhe Mohmoud Thabit Kombo.
Vijana na Wanachama wa Tawi la CCM milimani wakiwa katika ujenzi wa Taifa wa Ujenzi wa Tawi hilo wakiwa na Mwakilishi wao.
Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar akijumuika na Wanachama wa Tawi la CCM Milimani katika ujenzi wa Taifa wa kujenga tawi hilo ili kuimarisha Chama kuazia ngazi ya Tawi hadi Taifa.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.