Habari za Punde

Uzinduzi wa Group la G1 Mapinduzi Kwanza katika ukumbi wa Maruhubi Beach Villa

 Baadhi ya waalikwa na wanachama wa Kundi la G1 Mapinduzi Kwanza wakiwa katika sherehe ya uzinduzi uliofanyika leo katika ukumbi wa Maruhubi Beach Villa,mgeni rasmi alikuwa Naibu Waziri wa Mambo  ya Nchi pia Mwakilishi wa Jimbo la kikwajuni (CCM) Mhe,Hamad Masauni Yussuf Masauni,[Picha na Mpiga picha wetu.]
 Naibu Waziri wa Mambo  ya Nchi pia Mwakilishi wa Jimbo la kikwajuni (CCM) Mhe,Hamad Masauni Yussuf Masauni alipokuwa akizindua Group la G1  Mapinduzi Kwanza ambalo linakusanya Vijana wa CCM pamoja na Viongozi mbali mbali ,uzinduzi huo umefanyika leo katika ukumbi wa Maruhubi Beach Villa,wengine (kulia) ni Mwenyekiti wa Group Abdalla Maulid Diwani Mwakilishi wa Jimbo la Jangombe,(kushoto) Mkurugenzi na Mmiliki wa Kampuni ya Pennyroyal Gibraltar Ltd Bw.Brian Thomson na Bi Naila Jidawi, [Picha na Mpiga picha wetu.]
 Baadhi ya waalikwa na wanachama wa Kundi la G1 Mapinduzi Kwanza wakimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo  ya Nchi pia Mwakilishi wa Jimbo la kikwajuni (CCM) Mhe,Hamad Masauni Yussuf Masauni (hayupi pichani) akizungumza wa katika sherehe ya uzinduzi wa Droup G1 uliofanyika leo katika ukumbi wa Maruhubi Beach Villa,[Picha na Mpiga picha wetu.]
 Baadhi ya waalikwa na wanachama wa Kundi la G1 Mapinduzi Kwanza wakimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo  ya Nchi pia Mwakilishi wa Jimbo la kikwajuni (CCM) Mhe,Hamad Masauni Yussuf Masauni (hayupi pichani) akizungumza wa katika sherehe ya uzinduzi wa Droup G1 uliofanyika leo katika ukumbi wa Maruhubi Beach Villa,[Picha na Mpiga picha wetu.]
 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Kichama Mhe,Borafya Silima akitoa shukurani wa Kundi la G1 Mapinduzi Kwanza wakati wa uzinduzi uliofanyika leo katika ukumbi wa Maruhubi Beach Villa,[Picha na Mpiga picha wetu.]

 Mshika fedha wa Group la G1 Zubeda Khamis Shaib akipokea cheki ya Shillingi Millioni Mbili za Kitanzania kutoka kwa Mzee Haji Nyanya wakati wa kuchangia Group hilo sambamba na   sherehe za Uzinduzi wa uliofanywa na Naibu Waziri wa Mambo  ya Nchi pia Mwakilishi wa Jimbo la kikwajuni (CCM) Mhe,Hamad Masauni Yussuf Masauni (hayupi pichani)katika ukumbi wa Maruhubi Beach Villa leo, [Picha na Mpiga picha wetu.]
Naibu Waziri wa Mambo  ya Nchi pia Mwakilishi wa Jimbo la kikwajuni (CCM) Mhe,Hamad Masauni Yussuf Masauni akimkabidhi Mdeli wa kahawa ulitengenezwa kwa Shaba Nd,Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Abdulkhafar Idrissa alioununua kwa njia ya mnada wa kuchangia kundi kiasi ya shilingi za kitanznia Millioni Tano,wakati wa Uzinduzi wa Group la G1 Mapinduzi Kwanza katika ukumbi wa Maruhubi Beach Villa leo, [Picha na Mpiga picha wetu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.