MSINUNUE WALA KUUZA MIFUGO YA WIZI-KAPELE-MOMBA
-
Na Issa Mwadangala.
Wafanyabiashara na wafugaji katika Kijiji cha Kasinde Kata ya Kapele Wilaya
ya Momba Mkoani Songwe wametakiwa kuacha mara moja tabia y...
18 minutes ago
ndio pale ninaposema serikali yetu haijitambui wala haijijui, kweli serikali kweli inashindwa kujenga vibanda vidogo vidogo ikawakodisha hao jamaa ili hizo bidhaa zisiwekwe chini? kipindupindu kweli kitakwisha hapo?
ReplyDelete