Wahitimu 50 Bora Sayansi Wapatiwa Ufadhili wa Samia Scholarship Extended
-
Wahitimu 50 bora wa masomo ya Sayansi katika matokeo ya kidato cha sita
mwaka 2025 wamechaguliwa kupata ufadhili kupitia Samia Scholarship
Extended, kwa aj...
2 hours ago
ndio pale ninaposema serikali yetu haijitambui wala haijijui, kweli serikali kweli inashindwa kujenga vibanda vidogo vidogo ikawakodisha hao jamaa ili hizo bidhaa zisiwekwe chini? kipindupindu kweli kitakwisha hapo?
ReplyDelete