Saturday, April 30, 2016

Viongozi walioteuliwa na kuapishwa na Rais leo Ikulu

 Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Asaa Ahmada Rashid.
 Naibu Katibu Baraza la Mapinduzi zanzibar Nd,Salmin Amour Abdalla.
 Katibu wa Baraza la Wawakilishi, Bi Raya Issa Msellem. 
 Naibu Mwanasheria Mkuu Zanzibar Nd,Mzee Ali Haji.
Mhasibu Mkuu wa Serikali Bi,Mwanahija Almasi Ali.