Habari za Punde

Wafanyakazi wa Zantel Wapanda Miti Katika Msitu wa Hifadhi ya Masingini Zanzibar.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Zantel, Benoit Janin akipanda mti katika hifadhi ya Masingini kwa kushirikiana na Bi Nassim Said Mohameid (Kulia) na kushoto ni Mkurugenzi wa Misitu na Maliasili zisizorejesheka wa Zanzibar bwana Sheha Idrissa Hamdani.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Zantel, Benoit Janin akipanda mti katika hifadhi ya Masingini
 Mkuu wa Zantel kwa upande wa Zanzibar, Mohameid Mussa (katikakati) akipanda mti kwa kushirikiana na Hamza Zuheri, Meneja wa Mtandao na Vifaa vya mawasiliano wa Zantel (kulia) pamoja na Mkurugenzi wa Misitu na Maliasili zisizorejesheka wa Zanzibar bwana Sheha Idrissa Hamdani (kushoto).
 Mkurugenzi wa Masoko wa Zantel, Bi Progress Chissenga akipanda miti katika hifadhi ya Masingini. Anayemsaidia kushoto ni Mkurugenzi wa Misitu na Maliasili zisizorejesheka wa Zanzibar bwana Sheha Idrissa Hamdani.
Mkurugenzi Mtendaji wa Zantel, Benoit Janin akipewa maelezo kuhusu hifadhi ya Masingini Bi Nassim Said Mohameid (Kushoto) wakati wa zoezi la upandaji miti lilofanywa na wafanyakazi wa Zantel
 Wafanyakazi wa Zantel kutoka kushoto Deus Mtena, Winnes Lyaro na Leonard Kameta wakipanda mti katika hifadhi ya Masingini.
Mwanasheria wa Zantel Bi Julia Kilala akipanda miti kwa kushirikina na watoto wake Noah and Nathan Kilala

Wafanyakazi wa Zantel na wafanyakazi wa Wizara ya Kilimo na Maliasili wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza zoezi la upandaji miti.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.