Habari za Punde

Askari ya Usalama Barabarani Akiongoza Magari Kupunguza Msongamano wa Magari.

Askari wa Usalama Barabara na Wananchi wakiangalia magari yaliogongana uso kwa uso katika barabara ya kwa boko, katika ajali hiyo iliyozihushisha gari ya daladala na gari ndogo. Dereva wa gari ndogo amepata majaraha.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.