Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (aliyevaa tai) akiwa katika picha ya pamoja na wamiliki wa Blogs (Bloggers) aliowaalika wakati wa kuwasilisha hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha wa 2016/2017, bungeni Dodoma. Kushoto ni Naibu Waziri wa wizara hiyo,Annastazia Wambura. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Baadhi ya Bloggers wakiwa bungeni wakati wa Bajeti ya wizara hiyo
Waziri Kivuli wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Joseph Mbilinyi 'Mr Sugu' akisoma taarifa ya maoni ya upinzani kuhusu wizara hiyo.
Baadhi ya Bloggers wakisikiliza mwenendo wa bunge. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Muda wa Chama cha Wamiliki wa Bloggers Tanzania (TBN).
Nape akiwa na Bloggers pamoja na wasanii bungeni Dodoma
Nape akiwa na Bloggers
Nape akisalimiana na Blogger Salum Mwinyimkuu
Mmiliki wa Blog ya Fullshangwe, John Bukuku (kushoto) na Mmiliki wa Matukio360 Blog Salum Mwinyimkuu wakiwa na mwandishi wa habari wa Raia Tanzania, Sharifa Malira
hii khabari uongo mtupu mmeng'ara kivipi? wakati hata nafasi ya kuzungumza hatukuipata?
ReplyDeletezanzibarmyhome 15/05/2016 kwa 9:55 mu · Log in to Reply
ReplyDeleteHatukupewa hata nafasi ya kuongea ? Angalia papers zilizo wasilishwa kwenye sumit..sisi tulikua wasindikizaji. Na mrs Greening alisaini. Mikataba ya umeme na Ghana na Seara leone pekee angalia page yake na twitter zake kuna picha kabisa za signing ceremony
https://www.gov.uk/government/publications/against-corruption-a-collection-of-essays/against-corruption-a-collection-of-essays#contents
zanzibarmyhome 15/05/2016 kwa 9:19 mu · Log in to Reply
ReplyDeletePropaganda tu hio , majaliwa hakujaaliw hata kuongea kwenye sumit ilo mpeleka huko London.
Walikutana na hao mawaziri kama kawaida ya wageni kwenye mikutano kusalimiana . Hakuna mpango wowote ulojadiliwa ilikua kusalimiana tu ..nothing else. Hizi ni propaganda kali tunazo pigwa.
Kusaidia wanaweza lakini ziara ya majaaliwa ni failure kabis huko London.
Hakupew nafasi yoyote ya kuonge kwenye forum za mkutano.
Hii habari zote za misaada zinatajwa na vyombo vya serikali bara.
Ukiangalia website za serikali ya uengereza na ya huyo Waziri wa Uingereza wa Maendeleo ya Kimataifa, Justine Greening hakuna kitu kama hicho.
In fact alipata could shouldered na wakuu wa huko. Alikuwapo Buhari hakutak kuonana nae kwa sababu ya Znz. Pia alikuwapo Terry wa USA haja onana nae.
Nasema enzi za JK hawa wote wangemfata na wangempa nafasi ya mbele na heshim kubwa.
Hivyo mwandishi Ashakh fanya utafiti juu ya ziara hii usikopi na kupaste kutoka magazeti ya propaganda ya ccm .
Google mkutano huu wa Amti corruption 2016 na uangalie nafasi ya Tanzania …ni sawa n zero kabisa