Habari za Punde

Bloggers watinga Bungeni kwa mwaliko wa Nape

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (aliyevaa tai) akiwa katika picha  ya pamoja na wamiliki wa Blogs  (Bloggers) aliowaalika wakati wa kuwasilisha hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha wa 2016/2017, bungeni Dodoma. Kushoto ni Naibu Waziri wa wizara hiyo,Annastazia  Wambura. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Baadhi ya Bloggers wakiwa bungeni wakati wa Bajeti ya wizara hiyo

 Waziri Kivuli wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Joseph Mbilinyi 'Mr Sugu' akisoma taarifa ya maoni ya upinzani kuhusu wizara hiyo.

 Baadhi ya Bloggers wakisikiliza mwenendo wa bunge. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Muda wa Chama cha Wamiliki wa Bloggers Tanzania (TBN).
 Nape akiwa na Bloggers pamoja na wasanii bungeni Dodoma
 Nape akiwa na Bloggers
 Nape akisalimiana na Blogger Salum Mwinyimkuu
Mmiliki wa Blog ya Fullshangwe, John Bukuku (kushoto) na Mmiliki wa Matukio360 Blog Salum Mwinyimkuu wakiwa na mwandishi wa habari wa Raia Tanzania, Sharifa Malira

3 comments:

  1. hii khabari uongo mtupu mmeng'ara kivipi? wakati hata nafasi ya kuzungumza hatukuipata?

    ReplyDelete
  2. zanzibarmyhome 15/05/2016 kwa 9:55 mu · Log in to Reply
    Hatukupewa hata nafasi ya kuongea ? Angalia papers zilizo wasilishwa kwenye sumit..sisi tulikua wasindikizaji. Na mrs Greening alisaini. Mikataba ya umeme na Ghana na Seara leone pekee angalia page yake na twitter zake kuna picha kabisa za signing ceremony
    https://www.gov.uk/government/publications/against-corruption-a-collection-of-essays/against-corruption-a-collection-of-essays#contents

    ReplyDelete
  3. zanzibarmyhome 15/05/2016 kwa 9:19 mu · Log in to Reply
    Propaganda tu hio , majaliwa hakujaaliw hata kuongea kwenye sumit ilo mpeleka huko London.
    Walikutana na hao mawaziri kama kawaida ya wageni kwenye mikutano kusalimiana . Hakuna mpango wowote ulojadiliwa ilikua kusalimiana tu ..nothing else. Hizi ni propaganda kali tunazo pigwa.
    Kusaidia wanaweza lakini ziara ya majaaliwa ni failure kabis huko London.
    Hakupew nafasi yoyote ya kuonge kwenye forum za mkutano.
    Hii habari zote za misaada zinatajwa na vyombo vya serikali bara.
    Ukiangalia website za serikali ya uengereza na ya huyo Waziri wa Uingereza wa Maendeleo ya Kimataifa, Justine Greening hakuna kitu kama hicho.
    In fact alipata could shouldered na wakuu wa huko. Alikuwapo Buhari hakutak kuonana nae kwa sababu ya Znz. Pia alikuwapo Terry wa USA haja onana nae.
    Nasema enzi za JK hawa wote wangemfata na wangempa nafasi ya mbele na heshim kubwa.
    Hivyo mwandishi Ashakh fanya utafiti juu ya ziara hii usikopi na kupaste kutoka magazeti ya propaganda ya ccm .
    Google mkutano huu wa Amti corruption 2016 na uangalie nafasi ya Tanzania …ni sawa n zero kabisa

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.