Habari za Punde

Hafla ya Siku ya Kuapishwa kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya Zanzibar Ikulu Zanzibar.

 Wakuu wa Mikoa na Wilaya za Unguja wakiwa katika Ukumbi wa Ikulu Zanzibar wakisubiri kuapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein. 
 Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud 
 Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe Vuai Mwinyi Mohammed. 
 Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja Mhe Marina Joel Thomas.
 Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini A Unguja Mhe. Hassan Ali Kombo.
 Mkuu wa Wilaya ya ChakeChake Pemba Mhe. Salama Mbarouk Khatib.
 Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini B Unguja Mhe. Issa Juma Ali.
 Mkuu wa Wilaya ya Magharibi B Unguja. Mhe. Silima Haji Haji. 
 Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja Mhe Mashavu Sukwa Said.
 Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid, akisalimiana na kumpongeza Mkuu wa Mkoa Mpya wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayuob Mohammed Mahmuod Ikulu Zanzibar alipofika kuhudhuria hafla ya kuapishwa jana, 24-5-2016, Ikulu Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Wakuu wa Mikoa Wapya alipowasili Ikulu Zanzibar kuhudhuria hafla ya kuapishwa jana.
Viongozi wa Serikali wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya Ikulu Zanzibar.  
Wageni waalikwa na Wa nafamilia wakiwa katika ukumbi wa Ikulu kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya Ikulu Zanzibar.
Wateule Wakuu wa Mikoa na Wilaya wakisubiri kuapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Ikulu Zanzibar jana. 
Wanafamilia wakiwa katika ukumbi wa Ikulu wakihudhuria hafla ya kuapishwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya wa Zanzibar Ikulu.   
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwasili katika ukumbi tayari kwa kuaza shughuli za kuwaapisha Wakuu wa Mikoa na Wilaya Wapya Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.