Thursday, May 12, 2016

Magazetini Bongo Tz leo.


1 comment:
Write Maoni
  1. Haah! jamani, kweli Z'bar yetu "imechoka" sijui ni kwasababu za siasa au ni mitazamo ya watu...sijui!

    Hivi kweli msanii kama Bi Fauzia Abdallah anafariki, tunashindwa kupata hata wasfu wake? au picha?

    Tunaishia kukopi taarifa kutoka kwa watu wengine? lakini cha kushangaza gazeti letu pekee tunalolitegemea na ambalo inatakiwa lihudumie watu takriban 1200,000 utalikuta kimesheheni taarifa za Bara ambako kuna magazeti na wandishi wengi mahiri huku ya kwetu tunayaacha!

    ReplyDelete