Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa
Ameshiriki Mdahalo wa Mawaziri Wakuu Kwenye Jikwaa la Maafisa Watendaji
Wakuu
-
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikikiza Waziri Mkuu wa Cameroon, Joseph
Dion Ngute wakati wa wa Mawaziri Wakuu kuhusu namna Sekta ya Umma
inavyoweza kus...
2 minutes ago
Haah! jamani, kweli Z'bar yetu "imechoka" sijui ni kwasababu za siasa au ni mitazamo ya watu...sijui!
ReplyDeleteHivi kweli msanii kama Bi Fauzia Abdallah anafariki, tunashindwa kupata hata wasfu wake? au picha?
Tunaishia kukopi taarifa kutoka kwa watu wengine? lakini cha kushangaza gazeti letu pekee tunalolitegemea na ambalo inatakiwa lihudumie watu takriban 1200,000 utalikuta kimesheheni taarifa za Bara ambako kuna magazeti na wandishi wengi mahiri huku ya kwetu tunayaacha!