Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na
Mazingira, Mh January Y. Makamba, akionyesha Tamko Rasmi kwa Waandishi wa
Habari (hawapo pichani) kuhusu siku ya
Mazingira Duniani.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais,BwanaMbarak M. Abdulwakil ( wa kwanza kushoto) akifuatiwa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais( wa pili kushoto )Injinia Ngosi Mwihava wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mh.Makamba wakati akitoa Tamko la Siku ya Mazingira Duniani.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. January Y. Makamba,akiongea na waandishi wa Habari kuhusu Tamko la Siku ya Mazingira Duniani
No comments:
Post a Comment