Habari za Punde

Tamasha la Mchezo wa Kirafiki kati ya PBZ na Wasanii wa Zanzibar Uwanja wa Amaan Timu ya Wasanii Imeshinda 1--0.Kuchangia Wananchi Waliopatwa Maafa ya Mvua na Kambi ya Kipindupindu


Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe Rashid Ali Juma akiwa na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe Chuom Kombo, Mwenyekiti wa Umoja wa Wasanii Zanzibar Babay Jay Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Ndg. Mussa Ali Juma, 

wakionesha hundi ya shilingi milioni tano iliotolewa na PBZ kwa ajili ya kuchangia Wananchi waliopata Maafa ya Mvua za Masika na wa Kipindupindu, Wakati wa mchezo wa kirafiki wa kuchangia wananchi hao uliofanyika uwanja wa Amaan Timu ya Wasanii imeshinda bao 1--0. Katika Tamasha hilo la kuchangia jumla shili laki mbili na hamsini zimepatikana katika mchezo huo kwa wananchi waliohudhuria tamasha hilo.

Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe Rashid Ali Juma Mgeni rasmin katika mchezo wa kuwachangia Wananchi waliopata maafa ya Mvua za Masika na wa Kambi ya Kipindupindu akifuatilia mchezo wa kirafiki ulioandaliwa na Wasanii wa Zanzibar na kudhaminiwa na Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ.kulia Mwenyekiti wa Umoja wa Wasanmii Zanzibar Baby Jay na kushoto Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Nassor Salum Jazira wkifuatilia mchezo huo. wa kirafiki kati ya PBZ na Wasanii wa Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.  
Wasanii wa Muziki wa Kizazi Kipya wakifuatilia mchezo huo maalum wa kuchangia Wananchi waliopata Maafa ya Mvua za Masika katika visiwa vya Zanzibar.
Benchi la Ufundi la Timu ya PBZ wakifuatilia mchezo wao na Timu ya Wasanii Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya Wasanii imeshinda 1--0.  
Shabiki wa Timu ya PBZ akipeperusha Bendera ya Timu yake wakati wa mchezo maalum wa kirafiki kuchangia Wananchi waliopata maafa Zanzibar. 
Benchi la Ufundi la Timu ya Wasanii Zanzibar wakifuatilia mchezo wao na Timu ya PBZ Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.


Beki wa Timu ya PBZ akiondoa mpira golini kwake. wakati wa mchezo wa kirafii wa hisanin kuchangia Wananchi waliopata Maafa Zanzibar.   
Mshambuliaji wa timu ya Wasanii akikokota mpira huku beki wa timu ya PBZ akimkimbilia wakati wa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Beki wa timu ya PBZ akimkata kwanja mshambuliaji wa Timu ya Wasanii wa Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar timu ya Wasanii imeshinda bao 1--0. 
Mshambuliaji wa Timu ya PBZ akimpita mchezaji wa Timu ya Wasanii uliofanyika Uwanja wa Amaan.
Beki wa Timu ya Wasanii akimzuiya mshambuliaji wa timu ya Wasanii 
Mshambuliaji wa Timu ya PBZ akijiandaa kuzuiya mpira huku beki wa timu ya Wasanii akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo huo wa kirafiki wa kuchangia Wananchi waliopata mafaa ya Mvua na Kipindupindu Zanzibar.
Mshambuliaji wa Timu ya PBZ akimpita beki wa timu ya Wasanii wa Zanzibar.
Mshambuliaji wa Timu ya PBZ akiwa na mpira huku beki wa Timu ya Wasanii akijiandaa   kumzuiya.
Benchi la ufundi la Timu ya PBZ wakiwa na majonziu baada timu yao kukubali kipigo cha bao moja bila dhidi ya timu ya Wasanii wa Zanzibar. 

Waziri wa Habari,Utalii Utamaduni na Michezo Mhe Rashid Ali Juma, akikabidhiwa hundi ya shilingi milioni Tano, kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Ndg. Mussa Ali Juma, kwa ajili ya kuchangia wananchi waliopata na maafa ya mvua za masika wakati wa mchezo wa kirafiki kati ya PBZ na Wasanii wa Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya Wananii imeshinda bao 1--0

Mwenyekiti wa Umoja wa Sanii Zanzibar Baby Jay akimkabidhi fedha, Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe Rashid Ali Juma, zilizochangwa wakati wa mchezo huo na Wananchi waliohudhuria mpambano huo uliofanyika katika uwanja wa Amaan na kuchangia shilingi laki mbili na hamsini na PBZ kuchangia shilingi milioni tano. Jumla ya Shilingi Miliono Saba na Laki Mbili zimipatikaka.
Mwenyekiti wa Umoja wa Sanii Zanzibar Baby Jay akimkabidhi kikoba cha mchango wa Wasanii wakati wa mchezo wa hisani kuchangia Wananchi waliopata Maafa ya Mvua Zanzibar.
Wasanii wakitembeza bali kwa wananchi waliohudhuria mchezo huo kwa ajili ya kuchangia Wananchi waliopata Maafa Zanzibar.
Wasanii wakipitisha bakuli kuchangia Wakati wa mchezo wa kirafiki wa kuchangia Wananchi waliopata maafa Zanzibar, Uliofanyika katika uwanja wa Amaan kati ya Timu ya PBZ na Wasanii wa Zanzibar.  
Wasanii wakipitisha bakuli kuchangia Wakati wa mchezo wa kirafiki wa kuchangia Wananchi waliopata maafa Zanzibar, Uliofanyika katika uwanja wa Amaan kati ya Timu ya PBZ na Wasanii wa Zanzibar. 

Wachezaji wa Timu ya PBZ wakisalimiana na Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe Rashid Ali Juma baada ya kumalizika kwa mchezo huo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Wachezaji wa Timu ya PBZ wakisalimiana na Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe Rashid Ali Juma baada ya kumalizika kwa mchezo huo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Wachezaji wa Timu ya Wasanii Zanzibar wakisalimiana na Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe Rashid Ali Juma baada ya kumalizika kwa mchezo huo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Wasanii wa Zanzibar wakisalimiana na Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe Rashid Ali Juma baada ya kumalizika kwa mchezo huo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wasanii Zanzibar Msanii Baby Jay akizungumza baada ya mchezo huo kumalizika na kutowa shukrani kwa Wananchi waliofika na kuchangia wakati wa mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe Rashid Ali Juma akitowa nasaha zake kwa Wachezaji wa timu hizo na Wananchi waliohudhuria katika Tamasha hilo la Mchezo wa kirafiki kati ya Timu ya PBZ na Wasanii wa Zanzibar kuchangias Wananchi waliopata Maafa ya Mvua na Kipindupindu Zanzibar. na kuwapongeza kwa imani yao kuonesha kwa Wananchi waliopata maafa hayo.






No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.