Habari za Punde

Ufunguzi wa Mashindano ya Tamasha la Michezo ya Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar

 Baadhi ya Wanafunzi wa Skuli mbali mbali za Sekondari wakiwa ni miongoni wa washiriki katika Ufunguzi wa Mashindano ya Tamasha la Michezo ya Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar yaliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu) Tr 21 Mey 2016.
 Viongozi mbali mbali walioshiriki katika Ufunguzi wa Mashindano ya Tamasha la Michezo ya Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar yaliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu) Tr 21 Mey 2016.
 Viongozi mbali mbali walioshiriki katika Ufunguzi wa Mashindano ya Tamasha la Michezo ya Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar yaliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu) Tr 21 Mey 2016.
 Baadhi ya Wananchi walioshiriki katika Ufunguzi wa Mashindano ya Tamasha la Michezo ya Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar yaliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu) Tr 21 Mey 2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wanamichezo wa vyuo  Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Tamasha la Michezo ya Vyuo hivyo  yaliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu) Tr 21 Mey 2016.
 Wanafunzi wa Chuo cha Kilimo Kizimbani wakiwa katika maandamano wakati wa Ufunguzi wa Mashindano ya Tamasha la Michezo ya Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar yaliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu) Tr 21 Mey 2016.

 Wanafunzi wa Chuo cha Mwalimu Nyerere Tawi la Zanzibar wakiwa katika maandamano wakati wa Ufunguzi wa Mashindano ya Tamasha la Michezo ya Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar yaliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu) Tr 21 Mey 2016.
 Wanafunzi wa Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar  wakiwa katika maandamano wakati wa Ufunguzi wa Mashindano ya Tamasha la Michezo ya Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar yaliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu) Tr 21 Mey 2016.
 Wanafunzi wa Chuo cha Uandishi wa Habari  Zanzibar wakiwa maandamano wakati wa Ufunguzi wa Mashindano ya Tamasha la Michezo ya Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar yaliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu) Tr 21 Mey 2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake  katika Ufunguzi wa Mashindano ya Tamasha la Michezo ya Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar yaliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu) Tr 21 Mey 2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.