Habari za Punde

Ziara ya Rais wa Zanzibar Dk Shein, Kisiwani Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na wanachama cha Mapinduzi Tawi la Tibirinzi Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba ambalo lilichomwa Moto na wapinzani  hivi karibuni,akiwa katika ziara maalum ya kutembelea maeneo mbali mbali yaliyopata matukio ya kisiasa
Wanachama cha Mapinduzi CCM Tawi la Tibirinzi Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipotembelea tawi lao lililochomwa moto na Wapinzani kwa sababu za kisiasa kuona hali ya uharibifu uliotokea
Mkuu wa Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe,Rashid Hadid (wa pili kulia) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein (katikati) wakati alipofika Kijiji cha Shengejuu shehia ya Pembeni kutembelea ujenzi wa Nyumba ya Nd,Said Khamis Iliyobomolewa na Wafuasi wa Chama cha CUF kwasababu za Kisiasa,(kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe,Vuai Ali Vuai
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Viongozi aliofuatana nao katika ziara maalum ya kutembelea maeneo yaliyofanyiwa uharibifu wa kung’olewa vipando kama muhogo kwa Chuki na sababu za kisiasa katika shamba la Nd,Said Khamis huko Msimani Shengejuu shehia ya Pembeni,Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimianana Sheha wa Shehia ya Maziwa Ngombe Bi,Asha Yussuf Hassan, aliyevunjiwa Nyumba yake na Wafuasi wa Chama cha CUF hivi karibuni kwa sababu za kisiasa pamoja na kukatiwa Migomba yeke wakati alipomtembelea leo kuangalia maafa hayo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimianana Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Micheweni wakati alipomtembea Sheha wa Shehia ya Maziwa Ngombe Bi,Asha Yussuf Hassan, aliyevunjiwa Nyumba yake na Wafuasi wa Chama cha CUF hivi karibuni kwa sababu za kisiasa pamoja na kukatiwa Migomba yeke wakati alipomtembelea leo kuangalia maafa hayo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akipata maelezo ya ushuhuda kutoka kwa Sheha wa Shehia ya Maziwa Ngombe wilaya ya Micheweni Pemba, Bi,Asha Yussuf Hassan (katikati) aliyevunjiwa Nyumba yake na Wafuasi wa Chama cha CUF hivi karibuni kwa sababu za kisiasa pamoja na kukatiwa Migomba yeke wakati alipomtembelea leo kuangalia maafa hayo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Shehia ya Maziwa Ngombe wilaya ya Micheweni Pemba leo wakati alipomtembelea Sheha wa Shehia hiyo Bi,Asha Yussuf Hassan (katikati) aliyevunjiwa Nyumba yake na Wafuasi wa Chamacha CUF hivi karibuni kwa sababu za kisiasa pamoja na kukata Migomba yake, wakati wa ziara yake kisiwani Pemba leo,31/5/2016.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.