Habari za Punde

Askari wa Chuo cha Mafunzo Wapata Mafunzo ya Kumsaidia Mtumiaji Dawa za Kulevya.

Kaimu Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar Dk Mahmoud Ibrahim Mussa, akitowa Mafunzo juu ya kuwasaidia Watumiaji wa Dawa za Kulevya wakati wa mafunzo hayo yaliowashirikisha Askari wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar, yaliofanyika katika Ukumbi wa Mafunzo matumbatu Unguja. 
 Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wakimsikiliza Mkufunzi akitowa mafunzo hayo. 

Askari wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar wakifuatilia mafunzo hayo ya juu ya kuwasaidia watumiaji wa dawa za kulevya.(Picha na Haji Sued ) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.