Habari za Punde

Jumuiya za Muzdalifah na Helping Hand zatoa misaada Hospitali kuu ya Mnazi mmoja

 Baadhi ya Vifaa mbalimbali vya Hospitali ambavyo vimetolewa Msaada na Jumuiya ya Muzdalifat wakishirikiana na Shirika la Helping Hand kutoka marekani vikiteremshwa  katika Hospitali ya Mnazi mmoja Mjini Unguja.
 Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Muzdalifat Farouk Hamadi akitoa nasaha kwa mgeni rasmi na Waalikwa katika hafla ya kukabidhi msaada wa Vifaa mbalimbali vya Hospitali vilivyotolewa msaada na Jumuiya ya Muzdalifat wakishirikiana na Shirika la Helping Hand kutoka Marekani,katika  katika Hospitali ya Mnazi mmoja Mjini Unguja.

 Mwakilishi wa Shirika la Helping Hand, Muhammad Irfan Bashir akitoa hotuba  katika hafla ya kukabidhi msaada wa Vifaa mbalimbali vya Hospitali  vilivyotolewa msaada na Jumuiya ya Muzdalifat wakishirikiana na Shirika la Helping Hand kutoka Marekani,katika Hospitali ya Mnazi mmoja Mjini Unguja.
 Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Muzdalifat Farouk Hamadi katikati akiwa na Mwakilishi wa Shirika la Helping Hand Muhammad Irfan Bashir kushoto wakimkabidhi Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja  Dk,Msafiri Marijani moja kati ya Vifaa vilivyotolewa Msaada na Jumuiya ya Muzdalifat wakishirikiana na Shirika la Helping Hand kutoka marekani,katika Hospitali ya Mnazi mmoja Mjini Unguja.


Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja  Dk,Msafiri Marijani akitoa nasaha kwa niaba ya Naibu Waziri wa Afya Baada ya kupokea Msaada wa Vifaa mbalimbali vya Hospitali vilivyotolewa Msaada na Jumuiya ya Muzdalifat wakishirikiana na Shirika la Halping Hand kutoka marekani,katika Hospitali ya Mnazi mmoja Mjini Unguja.

PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.