Habari za Punde

Michuano ya Kombe la Mbunge na Mwakilishi Jimbo la Kikwajuni Kisimanjongoo na Kikwajuni Juu.
2 comments:

  1. Hawa jamaa mbunge na mwakilishi Wana chembe ya mawazo ya kidini kweli? Ramadhan ni mwezi wa kuzama ktk ibada jamaani, mipira na michezo mengine vipi? Ushauri na tuanzishe na msshindano ya kuhifadhi quraan, kheir kubwa itapatikana majimboni

    ReplyDelete
  2. Katika viongozi wachache ambao nina wakubali kwa dhati basi ni pamoja na Mh Masauni. Lkn katika hili basi naungana kwa asilimia 100 na mchangiaji wa hapo juu. Huu ni mwezi mtukufu,tungejikita katika kumuabudu Muumba wetu na si vyenginevyo.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.