HIVI NDIO DKT NCHIMBI ALIVYOWASILJ MKOANI SIMIYU KUSAKA KURA ZA KISHINDO
-
MGOMBEA Mwenza wa kiti cha urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Dk.Emmanuel Nchimbi amepokelewa kwa shangwe na Wananchi wa wilaya ya
Busega,wak...
34 minutes ago
Hawa jamaa mbunge na mwakilishi Wana chembe ya mawazo ya kidini kweli? Ramadhan ni mwezi wa kuzama ktk ibada jamaani, mipira na michezo mengine vipi? Ushauri na tuanzishe na msshindano ya kuhifadhi quraan, kheir kubwa itapatikana majimboni
ReplyDeleteKatika viongozi wachache ambao nina wakubali kwa dhati basi ni pamoja na Mh Masauni. Lkn katika hili basi naungana kwa asilimia 100 na mchangiaji wa hapo juu. Huu ni mwezi mtukufu,tungejikita katika kumuabudu Muumba wetu na si vyenginevyo.
ReplyDelete