Habari za Punde

Katibu Mkuu wa chama cha Kikomunisti cha China akamilisha ziara yake Zanzibar na kuelekea Dar
 WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Baraza La Mapinduzi Issa Haji Gavu akizungumza na Mgeni wake Katibu  Mkuu  Chama cha Kikoministi Bw. Liu Zhijun  baada ya kukamilisha  ziara yake Nchini Zanzibar.

MWENYEKITI wa CCM  Wilaya ya Mjini Borafya Silima Juma akiagana na Katibu Mkuu  Chama cha Kikoministi Bw. Liu Zhijun  alipokuwa akiondoka  Bandarini  na kuelekea Dar es Saalamu.
 MKUU wa Mkoa  wa Mjini Magharib  Ayoub Mohammed akiagana na Katibu Mkuu  Chama cha Kikoministi Bw. Liu Zhijun  alipokuwa akiondoka  Bandarini  na kuelekea Dar es Saalamu.
 WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais  Baraza La Mapinduzi Issa Haji Gavu akiagana na Katibu Mkuu  Chama cha Kikoministi Bw. Liu Zhijun  alipokuwa akiondoka  Bandarini  na kuelekea Dar es Saalamu.
KATIBU Mkuu  Chama cha Kikoministi Bw. Liu Zhijun  aliyevaa nguo nyeusi akiingia katika Boti ya AV KILIMANJARO alikielekea Dar es Saalamu baada yakumaliza ziyaza yake Zanzibar.
 PICHA NA MIZA OTHMAN – HABARI MELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.