Habari za Punde

Makamu wa Mwenyekiti wa CCM, Dk Shein aendelea na ziara ya CCM kichama Wilaya ya Mfenesini leo

 Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwa katika mkutano wa kuwapongeza na kuwashukuru Wananchi na Viongozi wa Chama Wilaya ya Mfenesini Kichama wakiwemo Mabalozi,Wenyeviti wa matawi,Maskani na Makatibu katika ukumbi wa tawi la Chuo cha Mwalimu Nyerere leo mgeni rasmi akiwa 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]03/06/2016.

Wanachama cha Mapinduzi wa Wilaya ya Mfenesini kichama Mkoa wa Magharibi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein,wakati alipokua akiwapongeza wanachama hao baada ya ushindi wa Uchaguzi marudio uliomalizika mwezi wa Machi mwaka huu,katika mkutano ulifanyika leo katika ukumbi wa Tawi la Chuo cha Mwalimu Nyerere,Bububu ,[Picha na Ikulu.] 01/06/2016. Mwanachama cha Mapinduzi wa Jimbo la Mfenesini Wilaya ya Mfenesini Mkoa wa Magharibi Mashaka Petro alipokuwa akichangia kukushu matengenezo ya Barabara ya Mwachealale wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein,alipokua akizungumza na wanachama hao alipowashukuru  na kuwapongeza kwa ushindi wa Uchaguzi marudio uliomalizika mwezi wa Machi mwaka huu,katika mkutano ulifanyika leo katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani,[Picha na Ikulu.] 01/06/2016.

 Balozi kutoka Koani Mwanahamis Iddi Mwanachama cha Mapinduzi wa Jimbo la Mfenesini Wilaya ya Mfenesini  alipokuwa akichangia kuhusu wanachama wanaokiuwa Chama wachukuliwe hatua  wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein,alipofanya mkutano wa kuwashukuru  na kuwapongeza wanachama Viongozi wa Wilaya ya Mfenesini kwa ushindi wa Uchaguzi marudio uliomalizika mwezi wa Machi mwaka huu,katika mkutano ulifanyika leo katika ukumbi wa Tawi la Chuo cha Mwalimu Nyerere,Bububu Mkoa wa Magharibi,[Picha na Ikulu.] 03/06/2016. 
 Mwanachama wa Umoja wa Vijana UVCCM Rashid Mohamed Othman  alipokuwa akitoa mchango wake uliogusia zaidi uendelezaji wa Matawi ya Chama yaendane na hadhi mchango huo aliutoa leo katika ukumbi wa Chuo cha Tawi la Mwalimi Nyerere Bububu Mkoa wa Magharibi Unguja wakati wa Mkutano wa Kuwashukuru Viongozi wa Mashina,wenyeviyi wa Matawi na Maskani uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein, [Picha na Ikulu.] 03/06/2016.

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai akimkaribisha  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein kuzungumza na Viongozi wa CCM wakiwemo Mabalozi,Makatibu wa Matawi,Maskani na Wenyeviti katika Wilaya ya Mfenesini katika ukumbi wa Tawi la Chuo cha Mwalimu Nyerere,Bububu Mkoa wa Magaharibi Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 03/06/2016. 

 Baadhi ya Mwanachama cha Mapinduzi wa Wilaya ya Mfenesini Kichama wakinyanyua mikono juu kuunga mkono hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein aliyoitoa leo katika Ukumbi wa Tawi la Chuo cha Mwalimu Nyerere,Bububu Mkoa wa Magharibi wakati wa Mkutano wa Viongozi wa CCM wa kuwapomngeza Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Maskani na Makatibu wa Matawi kwa Ushindi wa Uchaguzi Mkuu wa marudio uliofanyika mwezi machi mwaka huu,[Picha na Ikulu.] 03/06/2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mfenesini Bw. Mjumbe Msuri wakati wa mkutano wa kuwashukuru na kuwapongeza wanachama cha Mapinduzi Wilaya hiyo uliofanyika leo katika ukumbi wa taCCM Mkoa Amani, [Picha na Ikulu.] 01/06/2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na wanachama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Mfenesini Kichama, Mkoa wa Magharibi wakati alipokua akiwapongeza wanachama hao baada ya ushindi wa Uchaguzi marudio uliomalizika mwezi wa Machi mwaka huu,mkutano ulifanyika leo katika ukumbi wa Tawi la Chuo cha Mwalimu Nyerere Bububu,[Picha na Ikulu.] 03/06/2016.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na wanachama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Mfenesini Kichama, Mkoa wa Magharibi wakati alipokua akiwapongeza wanachama hao baada ya ushindi wa Uchaguzi marudio uliomalizika mwezi wa Machi mwaka huu,mkutano ulifanyika leo katika ukumbi wa Tawi la Chuo cha Mwalimu Nyerere Bububu,[Picha na Ikulu.] 03/06/2016

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.