MATANGAZO MADOGO MADOGO

Saturday, June 4, 2016

Utaratibu wa vibali waanza kutumika Zanzibar

System ya Kibali chini ya Sheria ya Afya ya Mazingira sasa imeanza kutumika rasmi Zanzibar ili kulinda Afya za Wananchi kupitia vyakula vinavyotengenezwa na kutayarishwa maeneo ya Mikahawa ili kuepukana na maradhi ya kuambukiza kutokana na Quality of the Food