Habari za Punde

Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, Balozi Karume ziarani Pemba

Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe: Balozi Ali Abeid Karume, akisalimiana na Afisa Mdhamini wa wizara hiyo Pemba, Hamad Ahmed Baucha, wakati waziri huyo, alipowasili uwanja wa ndege wa Pemba kwa ajili ya ziara ya siku mbili Kisiwani humo.
Taa maalumu za kuongezea ndege zilizopo uwanja wa ndege wa Pemba, ambazo zimeweka hivi karibuni, na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe: Balozi Ali Abeid Karume alizikagua.
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe: Balozi Ali Abeid Karume, akiwa na watendaji wakuu wa wizara hiyo Zanzibar, wakiitembelea bandari ya Mkoani Pemba, ikiwa ni sehemu ya ziara ya siku mbili kisiwani humo.
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe: Balozi Ali Abeid Karume, akikagua eneo ambalo litawekwa vifaa na shirika la bandari Mkoani, wakati harakati za matengenezo ya bandari hiyo zitakapoanza.
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe: Balozi Ali Abeid Karume, akiwa na watendaji wa wizara hiyo Pemba, wakikagua daraja la Tasini Mkanyageni ambalo hivi karibuni lilijengwa upya na wizara hiyo.

Daraja la Tasani linalounganisha kiusafiri wananchi wa kijiji cha Kangani na Mkanyageni, ambalo lilijengwa upya hivi karibuni na kugharimu shilingi 200 milioni, (shilingi milioni mia mbili).
Nyumba za maendeleo za Kengeja wilaya ya Mkoani Pemba, zikiwa taabani dhofu-lhali ambapo bado zinaendelea kuishi watu, na juzi waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe: Balozi Ali Abeid Karume alizitembelea.
Nyumba za maendeleo za Kengeja wilaya ya Mkoani Pemba, zikiwa taabani dhofu-lhali ambapo bado zinaendelea kusishi watu, na juzi waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe: Balozi Ali Abeid Karume alizitembelea.
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe: Balozi Ali Abeid Karume akiwa na Katibu mkuu wa wizara hiyo Mustafa Aboud Jumbe wakitembelea nyumba za maendeleo za Kengeja wilaya ya Mkoani Pemba.
(Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.