Habari za Punde

Ufunguzi wa Masjid Taqwa, Chokocho Pemba

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Zanzibar, Moh'd Aboud Moh'd, akikata utepe kuashiria kufunguliwa kwa Masjid Taqwa, uliojengwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Ali Moh'd Shein , huko Kijijini kwao Chokocho.
Baadhi ya Waumini wa Dini ya Kiislamu walihudhuria hafla ya ufunguzi wa Masjid Taqwa  huko Chokocho Pemba. 
 Sheikh Othman Maalim  akitowa Waadhi kwa Waumini wa Kiislamu waliohudhuria ufunguzi wa Masjid Taqwa, huko Chokocho Kisiwani Pemba.


Waziri Aboud akizungumza na Waumini wa Kiislamu waliohudhuria kufunguliwa kwa Masjid Taqwa, huko Chokocho Kisiwani Pemba.Picha na  Moh'd Salim -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.