AFISA Mdhamini Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
Pemba Salum Kitwana Sururu, akizungumza na wanafunzi wa skuli ya Madungu na
Shamiani Sekondari juu ya mpango wa CAREER DAY, wa kuhamasisha wanafunzi
wanapomaliza masomo kuwa na lengo mbadala la kufanyia kazi.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WANAFUNZI wa kidato cha nne,tatu, tano na sita
katika Skuli za Sekondari Madungu na Shamiani, wakimsikiliza hutuba ya afisa
mdhamini wa Wizara ya Elimu Pemba, Salum Kitwana Sururu hayupo pichani,
akifungua kongamano la CAREER DAY, huko katika skuli ya madungu sekondari
Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA.)
WALIMU wa skuli ya Madungu na Shamiani Sekondari
wakifuatilia, hutuba ya Afisa Mdhamini wizara ya Elimu Salum Kitwana Sururu,
wakati akifungua kongamano la CAREER DAY, huko katika skuli ya Madungu
Sekondari Chake Chake Pemba.(Picha na
Abdi Suleiman, PEMBA.)
MWANAFUNZI wa Skuli
ya Sekondari Shamiani Chake Chake Pemba, akitoa wazo lake katika kongamano la
CAREER DAY, huko katika skuli ya Madungu Sekondari Chake Chake Pemba. (Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment